Karibuni sana katika somo hlli la Utafiti wa Fasihi Simulizi ya Kiswahili Nyanjani. Katika kozi hii maswala mbalimbali yanayochangia kufaulu kwa utafiti nyanjani ikiwa ni pamoja na maandalizi kabla ya , wakati wa na baada ya kwenda nyanjani yatashughulikiwa.